Description
Kazi hii ni jaribio la kutochafua taswira ya Gandhi, mtu mkubwa na ikoni ya Indiana ulimwengu kwa ujumla. Badala yake, inajaribu kutafuta maana ya India kutokazamani hadi nyakati za sasa ambayo inaweza angalau kuthubutu kufikiria wazo laIndia bila mawazo na fikra za Gandhi. Baada ya kupita miaka 75 ya kuwa jamhurihuru, je, kunaweza kuwepo India bila Gandhi katika mawazo ya wengi – kama ipo,kwa nini, wapi, na vipi?!







Reviews
There are no reviews yet.